Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.

Mwongozo wa Mitandao ya Kijamii
Siku ya Malaria Duniani 2026

Tunaweza kutokomeza malaria. Si siku fulani, bali katika kipindi cha uhai wetu.

Kwa mara ya kwanza, hilo si tamanio. Ni halisi. Sayansi inakua kwa kasi zaidi kuliko hapo awali. Chanjo mpya, matibabu, zana za kudhibiti malaria na teknolojia mpya, ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya vinasaba na udungaji wa sindano wenye matokeo ya muda mrefu, tekenolojia hizi zinatengenezwa. Tayari, nchi 25 zinatoa chanjo ya malaria ili kuwalinda watoto milioni 10 kwa mwaka. Vyandarua vya mbu vya teknolojia mpya sasa vinaunda asilimia 84 ya vyandarua vyote vipya vilivyosambazwa.Mipango ya kitaifa inaleta mabadiliko.

Lakini malaria haisubiri. Ufadhili unapopungua na mipango kudhoofika, inarudi haraka na kuua mamia elfu ya watoto zaidi na kurudisha nyuma mafanikio yaliyopatikana kwa shida.Uwezekano umekuwa mkubwa sana. Na gharama ya kupoteza fursa hii ni kubwa.

Siku hii ya Malaria Duniani: Chukua hatua. Linda maisha sasa. Fadhili kesho isiyo na malaria.
Kutokomeza Malaria Huanza na Mimi.

KADI ZA MITANDO YA KIJAMII ZILIZO NA PICHA

SENTENSI NYINGINE ZINAZOWEZA KUTUMIKA

  1. Mataifa yanaongoza. Sayansi inafanikisha.Jamii zinaleta mabadiliko. Tunaweza kutokomeza malaria katika kipindi cha uhai wetu. Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.

  2. Sayansi inakua kwa kasi zaidi kuliko hapo awali, na kutokomeza malaria katika kipindi cha uhai wetu sasa ni kitu kinachowezekana kabisa. Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.

  3. Kizazi kijacho kinaweza kuishi katika ulimwengu usio na malaria. Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.

  4. Ufadhili unapopungua, malaria inarudi haraka. Watoto watakufa ikiwa kasi itapungua. Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.

  5. Viongozi kitaifa wanasukuma mbele gurudumu hili. Kasi inaongezeka. Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.

VICHWA VYA KADI ZA MAANDISHI

NAKALA YA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

LinkedIn

Tunaweza kutokomeza malaria. Si siku fulani, bali katika kipindi cha uhai wetu.Kwa mara ya kwanza, hilo si tamanio. Ni halisi. Sayansi inakua kwa kasi zaidi kuliko hapo awali. Chanjo mpya, matibabu, zana za kudhibiti malaria na teknolojia mpya, ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya vinasaba na udungaji wa sindano wenye matokeo ya muda mrefu, tekenolojia hizi zinatengenezwa. Tayari, nchi 25 zinatoa chanjo ya malaria ili kuwalinda watoto milioni 10 kwa mwaka. Vyandarua vya mbu vya teknolojia mpya sasa vinaunda asilimia 84 ya vyandarua vyote vipya vilivyosambazwa.
Mipango ya kitaifa inaleta mabadiliko.
Lakini malaria haisubiri. Ufadhili unapopungua na mipango kudhoofika, inarudi haraka na kuua mamia elfu ya watoto zaidi na kurudisha nyuma mafanikio yaliyopatikana kwa shida.Uwezekano umekuwa mkubwa sana. Na gharama ya kupoteza fursa hii ni kubwa.Siku hii ya Malaria Duniani: Chukua hatua. Linda maisha sasa. Fadhili kesho isiyo na malaria.Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.@ZeroMalaria #TokomezaMalaria #WMD2026 #SasaTunawezaSasaHatunaBudi

Facebook

Tunaweza kutokomeza malaria, si siku fulani, bali katika kipindi cha uhai wetu.Kwa mara ya kwanza, hilo si tamanio. Ni hali halisi. Sayansi inakua kwa kasi zaidi kuliko hapo awali. Chanjo mpya, matibabu, zana za kudhibiti mbu na teknolojia mpya, ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya vinasaba, zinatengenezwa. Tayari, nchi 25 zinatoa chanjo ya malaria ili kuwalinda watoto milioni 10 kwa mwaka. Vyandarua vya mbu vya teknolojia mpya sasa vinaunda asilimia 84 ya vyandarua vyote vipya vilivyosambazwa.Mipango ya kitaifa inaleta mabadiliko.Lakini malaria haisubiri. Ufadhili unapopungua, inarudi haraka na kuua mamia elfu ya watoto zaidi na kurudisha nyuma mafanikio yaliyopatikana kwa shida.Uwezekano umekuwa mkubwa sana. Na gharama ya kupoteza fursa hii ni kubwa.Siku hii ya Malaria Duniani: Chukua hatua. Linda maisha sasa. Fadhili kesho isiyo na malaria.Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.@ZeroMalaria #TokomezaMalaria #WMD2026 #SasaTunawezaSasaHatunaBudi

X

Kutokomeza malaria katika kipindi cha uhai wetu sasa ni kitu kinachowezekana kabisa. Sayansi inafanikisha. Mipango ya kitaifa inaleta mabadiliko.Lakini ufadhili unapopungua, malaria inarudi, na watoto wanakufa.Uwezekano umekuwa mkubwa sana. Gharama ya kupoteza fursa hii ni kubwa.Chukua hatua. Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.@ZeroMalaria #TokomezaMalaria #WMD2026 #SasaTunawezaSasaHatunaBudi

Instagram

Uwezekano umekuwa mkubwa sana. Gharama ya kupoteza fursa hii ni kubwa.Siku hii ya Malaria Duniani, chukua hatua.Sasa Tunaweza. Sasa Hatuna Budi.@zeromalaria #TokomezaMalaria #WMD2026 #SasaTunawezaSasaHatunaBudi #SikuYaMalariaDuniani #BilaMalaria